
Man City jana waliponea kuchapwa na wakabeba the UEFA Super Cup. Hii ni game huchezwa na winners WA champions league na Europa league, so do you think PEP sasa amekuwa the best coach of the game after Jana ama Bado hajafikia Sir Alex Ferguson.... Tubonge hapo kwa comments section... #MESHERS #FOOTBALLERS


0
0
0