
Management ya biz hukua tricky saana. Kwa episode 12 ya #ShujaazSTRA, Makena anapitia. Cook wake Mutiso anachelewa job, hasaidii ku-keep records na ni kama pia hajali customers. Makena ako ready kumfunza recipes mpya lakini Mutiso hadai hii stori.
Ushaijipata kwa situation kama hii? Kuliendaje? #ShujaazBiz https://youtu.be/2T8PlDK9Bd... this link to watch this amazing episode,,



0
0
0