Many a times I have seen wanabiashara wakiunda groups za chamaa ya kutoa a certain amount kila siku or weekly, has anyone of you tried this , how does it operate, inasaidia?
Tuchapiane kwa comments section below 👇
0