Many times we criticise wasee wa Ndudhi yet hii sector iko na good side pia. Hii sector inalisha familia mob sana, it plays an important role kwa transport sector all-over the country hadi ushagoo.
Swali ni Je? Tunaeza fanya nini tofauti kuboresha hii biz ya Ndudhi?
0
0
0