Manze kulingana na mimi mi huwa na work fty in terms of communication lazima tu nijue vile nitabonga na customers wangu na pia bidhaa nauza pia inafaa iwe mali fty yenye inaatract macustomers,