Manze nilikuwa nauza chipo next na shulee sevenye walifunga chuo biz yangu ikasimama sa ilibidi nisake hustle ingine.