
Manze, vitu zimekuwa tough.. Kwanza mimi nmekuwa nikisource products zangu kwa kenchic na vile covid ilikam Kuna products waliacha ku supply so we have to wait till January... Hope vitu zitakuwa poa next year
As entrepreneurs let's not giving up.. There's light at the end of the tunnel
0
0
0