Manzee kuna beshtangu ako na kibanda imeshika sana...neza kuadvice hivi,:fungua hio kibanda next kwa boda boda stage alafu pia weka tuu atleast mtu wa chini aneza afford, you will thank me later