Manzee mm ni designer wa ma baiskeli na niko tu local wasee most hunijua localy bt nikiweza pata market ya kudesign ma bikes na kusell inaweza kuwa fiti sana