
Manzee nilikuwa nachapiana na msee fulani wa biz ya "dhufu" na nikarealize hakuna biz mbaya.. Like hiyo biz inampea thao mbili daily na thru that ameachieve vitu mob sana so the bottom line is kila kitu tunado let's give it our best mayut wenzangu..
0
0
0