
MAONI WAKULIMA WENZANGU.
Soil samples lab test za farm yangu zilicome the other day. Na try ku gasp hapa na pale zile nutrients zinahitaji. Kwa summary report ile observation nacheck ni story ya organic manure. Wenye tuko kwa hii field si mnisaidie na mawazo hapa. My "kukus" bado ni chache mbuzi sina 😂 what other way naeza improve hio score?
Unaeza check pia hio report help me ku i break down and pia ku i'understand. Kama kawa, na appreciate sana kuwa part of the ever growing family ya MESH'ers. #Tujijenge #AgriBiz #SoilTest
0
0
0