Maoni yangu hapa mesh ni kuna meshers hua wanataka kupewa special treatment...Like kupewa all opportunities, kuwin challenges zote, ati sijui contribution campaign,,,alafu wasipopewa, wanaaza malalamishi hapa vile mesh imechange na vile wataenda....Ni hayo tu kwa sasa, tujengane
0
0
0