Marafiki FC itacheza FKF Division One for the 2024/25 season after kuwa promoted from Division Two.
Walipiga Kangemi Allstars 4-0 pale Kinunga Stadium during playoffs ku-qualify.
Hii ni yako kama unacheza football.