MARKET DAYS:-
Saturdays ni market days in major towns in Kenya. Leo ndio bales zinafunguliwa, na bidhaa nyingi huletwa soko-mbuzi, kuku, samaki kwa bei nafuu.
Ni soko gani iko karibu na kwenu?