💪Market research huwa important kujua customers demands na needs plus vile economy iko, ndio uweze ku-improve biz yako.
🤔Huwa unafanya Market Research after how long?