Marto ame install CCTV kwa salon yake na reasons zake ndio hizi wadau! Unaona ukiweka CCTV kwa place yako ya Biz ukianza ku-make profits za pesa ngapi? #ShujaazBiz #LindaFam