
🔊 Mashujaa Day special 💯
Kinuthia Njoroge ameiva sana story ya ku-get Supplies on credit, lakini iko na risks kibao! Skiza story yake na msee wa Supplies on Credit kwa Biz, alafu tuchapie experience yako, ushawai chukua goods on credit? Kulienda aje? 🤔
⏩ The Best 3 comments tunawajenga credo na chance ya ku-promote Biz hapa MESH! 🔥🔥 CHANGAMKA! 💪🏿

0
0
0