Matatu Association wanadai kuna directive inakam ina-require matatus kulipisha watu na cashless fare system. Ni idea fiti?
Wewe una-prefer kulipa fare kwa matatu aje?
Cash M-pesa Ama Cashless iko tu poa.
TikTok · Bosco wa Mlolongo