
MATCH FIXING MENACE...
Jana after Matasi amekuwa banned for hizo 90 days, nimekuwa nikijiuliza swali, ni nn inasumbua the world of sports. Another clip went viral showing how matches are fixed hapa Kenya na abroad mostly pale Roysambu na arrests hufanywa but still haiishi. UNAFIKIRIA SHIDA NI NINI, MBONA MATCH FIXING INA GROW DAILY HIVI?? IS IT A :
- Moral issue
- Ethical issue
- Ni njaa ama what's happening??

0
0
0