
Matthew 6:33-34 [33]Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa. [34Basi msisumbukie ya kesho; kwa kuwa kesho itajisumbukia yenyewe. Yatosha kwa siku maovu yake. Le tus not major tu sio za thamani ambazo solomon the wise guy alisema kwamba ni vanity but heavenly kingdom is forever and ever

0
0
0