
May I take this opportunity to say thank you for the invite.Nahope nikipewa hii loan itanisaidia kuboost biz yangu coz Kuna vle stock yangu imeenda chini kiac.but pia inafaa tujue interest na duration ya kulipa before tuchukue hyo loan kwanza na pia inafaa tujue mnaangalia qualifications gani.wat if mtu ako Crb he anaweza pewa hyo loan ama
0
0
0