
Mayouth wanaeza taka kusave doo ,but hawajui place poa ya kusave doo yao . As a youth dunia inabadilika and many we are heading to digital currency. Nimekuwa nikitumia hii app ya minipay kusave doo yangu for the last 2 years . It's the best place nimasave doo yangu ,coz unapata wanakupea 2% interest kwa doo yako weekly . Also unasave in dollars .
Na also kutumia mtu doo ni free yani sare . Ukifeel ungetaka also kusave huko ..download app playstore ..enda online kwa licence board confirm kama wamepewa license and save there ..Just to build your trust. Hope hii itasaidia mayouth wengine

0
0
0