
Mayouth wengi hawana job mtaani kwetu, wengi wao wako na skills za kufanya job but hawana ideas mahali wanaeza pata hizo job ama kuconnect na wasee. I take the responsibility to create awareness to them, now that kuna Mesh at least naeza pea msee idea ya kujichuma kihustle na nimshow mahali anaeza pata ideas kibao za kumjenga(Mesh community).
0
0
0