Maze hapa ndiyo account yngu, kukula, sch fees na pills zangu zote ni hapa, natengeza nursery bed za mboga zote, in a short period of two months, pesa mfukoni, Siri ni maji, dawa, fertilizer only.