
Maze life inaenda kua difficult tulikua tumepanga curfew itolewe but sidhani kama itatolewa because kama baba ashapata covid life imeanza kuwa juu about bbi vitu zimeongezeka,nilidhani tukipitisha bbi vitu zitakua poa but aaai laif inaenda kuwa ngumu
0
0
0