Maze, niajeni. Nlikam kugundua hustle ya kuuza mayai inalipa once nlianza kutembeza kila jioni kwa pubs...so imenpea profit noma of which sai nataka nifungue smoky sasa..