Maze nikieza pata hio 3k naeza buy mayai 100 @20 hio ni 2k then hio 1k ni weke token after 21 days zikihutch tuseme kama 80 nauza @100 hio ni 8k then nafanyia shopping nipeleke mayatima