Maze nko na idea apa ,nataka mnisaidie kiasi......nataka kuongezea stock yangu niwe nikiuza pamoja na nguo za mitumba nkiwa apa mlango kubwa tu,lakini nko na shot ya pesa za kuanza job Enyewe aky,wasee c mnisaidie tu kiasi tu......hope mesh mtanisaidia tu ili niweze kujiendeleza ki maisha tu tafadhalini wadau
0
0
0