Mazee huyu boy wangu my last born anaunda Koti kama hio. Mimi ni mbuyu yake. Ananijaz venye hataki kukaa Idol eti anasa KSL-Karen. Yeye ndio alinifit hio koti kama Ka birthday present.