
Mazee kuna vile hii story ya #mentalhealth ni challenge kubwa kwa society mzima in general...we are losing our bros kila siku labda kwa madre na pia suicides kibao....reach out to everyone daily mjulie hali bana na ukiwa na issue open up...ukinyamaza akuna mtu atajua unataka kusaidiwa. Kwa comment section tupee idea ya vile tunaweza control hii story as MESHers
0
0
0