Mazee mi ni baker skilled sana lakini biz yangu ilidunda due to various factors. Nkipata mtu ataniconnect na bakery moja nipige hustle niweze kujisimamisha tena ntashkuru sana. 🙏