Mbali na furniture niliyofanya miezi 6 sasa, mimi ni Software Developer. Naandika systems kama: ✅ School Management ✅ Hospital Management ✅ Trading Bots ✅ DApps – yani app kama Binance, ntakuundia from scratch!
Sasa niko na bot ya crypto analysis. Natafuta mtu wa ku-test na demo account. Kama uko na laptop, unaweza kuwa tester bila kulipia VPS.
📲 WhatsApp: wa.me/254736473199
#crypto #software #developer #bots #techinkenya

0
0
0