Mbona huwa ni ngumu kuanzisha biz once employment imekatika?
Kuna ka-stigma around kufutwa kazi. Wengi hushikwa na aibu, wanaona kuwa kuna jobs ''ndogo-ndogo'' hawawezi fanya.
Covid ilionyesha wasee wengi vumbi, mimi personally nilifutwa job 2021, na ikanibidi nianze from scratch.
Nilijaribu multiple businesses trying to survive.
What are the options for someone looking to be self-employed baada ya kufutwa kazi?
Ni jobs gani anaweza anza na capital ndogo?
Tupeeni tips hapa chini kwa comment section🔽
0
0
0