Mbona License nililipa 6500/- na nimeletewa leo wameandika 4000/-. Kuulizia zingine zimeenda wapi akasema nisiulize swali.