Mbona mtu anataka wewe umuamini umtumie pesa akutumie mzigo na yeye hataki kukuamini atumanishe mzigo then umtumie pesa? Payment after delivery. Mbona hamtaki hivyo? Mbona hatuaminiani?