Mbona ningumu ivo kujiinua kaa uko na talent ya usanii.... especially vile msee unastruggle kugei help kutoka kwa wale wame make it lakini ni as if wanataka upitie maali walipitia....