
Mbona room yako bado inakaa 2004s?
🛋️Colors: Light tones kwa walls = illusion ya big space.
🛋️Minimal Decor: Don’t overdo frames, one statement piece inatosha.
🛋️Greenery: Plant ya Ksh 300 inaweza turn vibes za room yako.
🛋️Layout: Rearrange furniture yako. Simple moves zina big impact.

0
0
0