Mbona usi invest Ile time uko free in campus ama College kufungua ka side hustle mtu wangu. Skiza vile James wa Thika aligundua chance poa ya kujijenga akiwa Campo. #ShujaazBiz