Mbona watu wa type C hukua hivo lakini? "Cable yangu haiwezi kusaidia" "Huna type C?, waah.." Like bro, sawaa tumejua unatumia type C si ni sawa basi. Whats your experience with type C cable users?