Mdosi anasema kuna ingine magithaa..... wacha nicompile nirudi na timings... alafu kuna wale mlipatia your previous caretakers na your exes ID zenu waregister laini na hujui kama bado line inafanya job..... Dial *106# uone zile line ziko under your ID. Ukiona yenye hujui, kuna hiyo option ya 'Report unknown number'. Nipee 👍🏼 Kama umeangalia sasa nirudi na Kredo ya bure...
0
0
0