Me hufanya art hapa mtaani, si lazima nichorwe na swezi kaa niseme hakuna jobs. Job iko kwa mikono yetu na usidharau io business idea unafikiria sai. Anza ndogo na utaenda far. Job yangu naipenda na huwa inanipea morale. Big up #Meshers.
0