
Me nafanya hustle ya kupika na kuuza kangumu kwa wasee wa viosk na vibanda,kazi iko sawa but challenge Ni fuel kurise bei,,naeka mafuta ya 400 daiy but stock ya kuuza saa zinginee inareduce ama inamantain pale pale,,na sah siwezi reduce size juu ya market competition #fuelprices
0
0
0