
Me nafeel like watu wengi wanawork na gover... So government should increase also salary juu ya high cost of living. Pia wale wanawork kwa private sector Bosses wao Inafaa wa react pia kwa hio story ya kuongezea mshahara ... Ndio at least ikikam kwa wafanyibiashara wadogo waongezee bei ya bidhaa Ndio wasiumie pia Sana.... Wapate kitu Atleast yenye inaweza wa keep going. I think io inaeza saidia Sana ..... Na itakua imefill io gap ya mafuta kuongezeka
Since si Kenya pekee yake life ya kuishi imekua noma. Government ireact na pia sisi wananchi tutacoperate na life itaendelea vifiti
0
0
0