
Me nauza maziwa na mala ...hii mala ni homemade najitengenezea kwa hao...sasa juzi nilimake tu kama kawaida iferment over night niuze jana ...kuangalia asubui hee naona tu ni maji maji kumix yaani inakaa tu maziwa fresh ...nikajiambia wacha niiwache mpaka jioni nikirudi...kurudi kwa hao iyo usiku kuangalia bado ni thr same same aki heartbreak na ni 5ltrs yote ...but sasa sikuimwaga nitaitumia kuitengeneza nazo pancakes na cupcakes zikulwe kwa hao ...but me huuza pia tusnacks na makeki hapo kwa shop za kukunywa nayo mala...jana tulihesabu tu loss pande ya mala juu haiwezi uzika ....ningependa #jiinue loan iweze nikupea ata kaloan niboost nayo job kama izo za cakes nilikuwa nabake napeleka mpaka kwa shops but ni vile corona iliharibu kila kitu juu prices zilihike vibaya sana ikabidi ni stop ... so ningependa nizirudishe atleast na niongezee stock kwa maziwa ndio niweze kutengeneza kama mala mob ndio nisiambie customer hakuna kitu...izo ni picha za mala ya jana vile ilikuwa tu light inaeza tumika kupika vitu but kuuzia customer akunywe haiwezi ni light sana kama maziwa fresh

