Me ni farmer from Machakos na naproduce sorghum,millet na ndengu kwa wingi. Msee akona wholesale ahop ya cereals anidm tufanye biz after negotiations za price. Thanks #SisiNiMesh