Me ni hustler💪 wazee na kilimo but in life ni kufumilia tu jangamoto ni mingi kwa kilimo unaeza kosa unaeza pada so wazee wenye mnafanya kilimo usife moyo🤦♂️