
me ni msee wa boda and life saa hii imekuwa ngumu on our side as you all know whats happening na sisi hii kenya yetu, i want to tell you people just support us we feed our families na hizi boda na saa hii nikinyanganywa hii bike yangu ama ipelekwe pale polisi siezi itoa juu its alot of money. my fellow bodas make sure you have all the necessary things you need kwa bike kabla utoke nje, la sivyo utalala njaa
0
0
0