Me ni msee wa mjengo na life ya leo kudepend kwa kitu moja ni gwan,so nlianza kutrainiwa elitrical instalation nkaachia katikati so any,but basics about it nafahamu