Me ni student alupe university. I started my Business long ago without having the real business. Hustle yangu is Cyber,, when I joined I had to plan my business using helb loan
First year I bought my lapi.
Second year I bought my Epson printer. Now loan ya 3rd part of it nikabuy sasa hizo stuffs ndogondogo....... Bizz yangu sai comrades and community at large wananipromote kama hustler mdogo kwa mtaa.....Bizz yangu mesh hunipromote since nakuanga na shujaaz ....wazee wakikamia hizi shujaaz Wana advertise since it's only place wazee upick mashujaaz booklets and Protection kits.
Challenges hukuwa mob like maybe capital kwa wazee wengi...but ukiwa na plan Kwa mind unaeza overcome that challenge.
Mesh wamenisaidia kuhusu bizz recods and spending also.
In near future will try buy better machine and register my company since matender mob wanapeana wazee uwa registered kama hizi maparastatals.
Bizz yangu sai inasaidia community sana in solving internet and other technology issues.
Pia hunilipia fee,,rent....pia mzazi na siblings wanasoma through hii huztle
God bless mesh. God bless hustle