logo

Me ni student winding up this year, nilikuwa na small business over corona period nikasave then nikaopen up an m-pesa shop Eldoret and South B now nimejaribu kutrain vijanaa na way poa ya kuopen smes enye inaeza help mayouths wacome up na idea poa ya kufanya business. Now mineget two youth nimeuplift na biashara ya kuuza viatu then I will be paying then 400 per day and I could have changed their daily life.